About jakx electrical work ltd


 Jakx electrical work ltd tunahusika na ufanyaji shughuli za umeme wa majumbani na viwandani.

Jakx electrical work ltd tunatoa ushauri juu ya vifaa Bora na salama vya kutumika katika ufanyaji wa wiring.

Jakx electrical work ltd tunafanya marekebisho katika miundombinu ya umeme iliyochakaa ,pia tunafumuwa na kusuka upya circuit iliyokosewa awali .

Jakx electrical work ltd imesheheni mafundi Malini na Bora watakao kufanyia kazi yako na kukuacha na tabasamu lenye nuru.

Comments

Popular Posts