Huduma zitolewazo na jakxelectricalworksltd

Jakxelectricalworksltd tunatoa huduma zifuatazo

  • Tunasuka waya majumbani na viwandani(domestic and industry electrical installation/wiring)
  • Tunafunga Sola (solar installation)
  • Tunafunga mfumo wa kisasa wa kujibadilisha pindi umme wa tanesco unapo katika toka vyazo tofautitofauti(automatic change over switch)
  • Tunafunga mfumo wa kisasa wa kusimamia system nzima ya maji katika tanki la juu na la chini.
  • Pia tunafunga camera,air conditioning, automatic gate controller, automatic fire alar detector, electrical fence
  • Automatic fire alarm detector huu Ni mfumo ambao pindi Moto unapotokea kwenye nyumba au dalili ya Moto unapotokea inakuwezesha kujuwa kwenye nyumba yako kunatatizo hata ukiwa mbali na nyumba
  • Pia tunafanya marekebisho ya kiumeme na kufanya uchunguzi wa mfumo mzima ndani ya nyumba
  • Pia tunachora ramani na kukadiria mahesabu katika jengo au kiwanda
  • Kwetu pia tunatowa ushauri bure kabisa
  • Jakxelectricalworksltd gharama zetu Ni nafu nakazi zenye ubora wakuaminika,tunafika popote ulipo.
  • Jakxelectricalworksltd atuangali pesa furaha yetu sisi Ni furaha yako, jakxelectricalworksltd TABASAMU LENYE NURU

Comments

Popular Posts