Karibu jakx Electrical Works Ltd.

Kwa huduma bora za umeme Kwa usalama wa Jengo lako la kibiashara, kiwanda au majumbani usisite kuwasiliana nasi ,tunakuhaidi kukuletea mwangaza utakaoleta tabasamu Ndani ya Jengo lako.


Kwa nini Jakx? Kwetu sisi utapata ofa ya chuma ya kupeleka Umeme (brackets) na kutumiwa maombi ya kuunganishwa Umeme Kwa mfumo wa nikonekt Bure kabisa.

Tukabidhi Jengo lako leo Ujipatie ofa hizi ,usikubali kukosa.
Karibu tukuhudumie!






Comments

Popular Posts